MATUMIZI YA LUGHA KATIKA RIWAYA YA KWANZA YA KISWAHILI YA UHURU WA WATUMWA NA RIWAYA YA KWANZA YA KISWAHILI YA MAJARIBIO YA NAGONA
Requires Subscription PDF (Swahili)

How to Cite

MATUMIZI YA LUGHA KATIKA RIWAYA YA KWANZA YA KISWAHILI YA UHURU WA WATUMWA NA RIWAYA YA KWANZA YA KISWAHILI YA MAJARIBIO YA NAGONA. (2024). JARIDA LA CHAUKIDU. https://doi.org/10.0255/z4x4g370

Share

Abstract

Makala haya yanaangazia matumizi ya lugha katika riwaya inayosadikiwa kuwa
ya kwanza ya Kiswahili ya Uhuru wa Watumwa (1934) iliyoandikwa na James
Mbotela na riwaya ya kwanza ya Kiswahili ya majaribio ya Nagona (1990) ya
Euphrase Kezilahabi, iliyoandikwa takribani miaka hamsini baadaye. Makala
yanajadili matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa kuangalia tofauti za matumizi yake
katika riwaya hizo mbili za Kiswahili, vikiwamo vipengele kama vile vya uteuzi wa
msamiati, lugha ya usimulizi, lugha ya majigambo, lugha ya ucheshi na kadhalika.
Pia, makala yanajadili jinsi ambavyo riwaya hubadilika ikiendana na mabadiliko
yanayoendelea kutokea katika jamii.

Requires Subscription PDF (Swahili)
Creative Commons License

This work is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License.

Copyright (c) 2024 JARIDA LA CHAUKIDU

Downloads

Download data is not yet available.